5/04/2022

Harmonize na Edo Kumwembe Hapatoshi...Warushiana Maneno


Harmonize kumuomba msamaha Kajala hadharani,kila mtu amelichukua hilo kwa mtazamo wake, wapo wanaounga mkono na wapo wanao ona Harmonize anatafuta kiki.


Hasa kupitia Insta story yake, Harmonize ameonekana kufadhaishwa na kauli ya Mchambuzi mkongwe wa mpira nchini na mtangazaji wa kituo cha Wasafi FM, Edo Kumwembe baada ya kumjibu mtu aliyecomment kwenye post ya mchambuzi huyo aliyokosoa msamaha wa Mchezaji wa Simba, Shomari Kapombe kwa mkewe,kwamba ni ishu binafsi na sio ya kwenda kwenye media.


Mtoa maoni akidai, Harmonize kumuomba msamaha Kajala mitandaoni kwa kumnunulia gari alisifiwa (mlimsifia, Edo akiwemo) Lakini Kapombe kuomba msamaha kwa goli anaambiwa ishu binafsi, Comment ambayo Edo kaijibu kwa kukanusha kuwa hajawahi sifia popote pale ishu za Harmonize, na pia akimsihi mtu huyo kutoamini Blah Blah za mitandaoni.

Sojamedia


HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger