5/12/2022

Harmonize "Nilipotoka WCB Kila Mtu Alisema Nitakufa Kimuziki Lakini Leo ni Mshindi"

Nafasi za Ajira Jiunge Group la Telegram la AJIRA YAKO Kwa Kubonyeza >> HAPA


“Usiruhusu mtu akwambie kwamba huwezi, amka na uzifuate ndoto zako. Nitazame mimi, nilipoanza safari yangu ya muziki, kila mmoja alikuwa akinikejeli kwamba nitafanya nini kwenye kiwanda cha muziki? Nikawaambia nitafanya nitakachoweza kufanya.”

“Na nilipotoka kwenye Label yangu ya zamani (@wcb_wasafi) kila mmoja alikuwa akisema nimeisha, nitakufa Kimuziki. Nitazame sasa hivi, Mimi ni mshindi. Na Konde Gang ni Label namba moja Tanzania kwa sasa, Afrika Mashariki na tunaitafuta Afrika sasa hivi.” - Harmonize
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger