5/08/2022

Hatimaye Mnunuzi wa Timu ya Chelsea Apatikana...Wakamilisha Hatua za Mwisho

Nafasi za Ajira Jiunge Group la Telegram la AJIRA YAKO Kwa Kubonyeza >> HAPATaarifa rasmi kutoka kwa klabu ya Chelsea ni kuwa tayari Mmiliki mpya amepatikana, Todd Boehly akiongozana na wenzie kama Clearlake Capital, Mark Walter na Hansjoerg Wyss, ambapo watatoa kiasi cha Pauni 2.5 Billion kununua hisa za klabu hiyo

Kiasi hicho cha pesa kitaingizwa kwenye akaunti za Roman Abramovich ambazo zimefungwa na mamlaka ya Uingereza, baada ya serikali kuthibitisha muamala huo Roman Abramovich ataitoa pesa yote hiyo kuelekea kwa wahanga wa vita wa Ukraine (Roman ametunza maneno yake, amesamehe deni na hataki hata mbuni ya mauzo)

Huku pia wamiliki hao wapya watawekeza tena Pauni 1.7 billion kama ambavyo Roman Abramovich aliagiza kwa ajili ya soka la vijana, wanawake na Chelsea Foundation

Makubaliano yote na makabidhiano yanatarajia kukamilika mwishoni mwa mwezi huu
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger