Hawa Jamaa Wawili Wanao Fanana Ndio Chanzo Cha Wazo La Kuletwa Kwa "Finger Print" DunianiPichani Ni Watu Wawili Tofauti Kushoto Ni "William West" Na Kulia Ni "Will West" Ambao Sio Ndugu Mwaka 1903
Hawa Jamaa Walikamatwa Kwa Makosa Tofauti Na Kupelekwa Katika Gereza La "Leaven Worth" Nchini Uingereza Kwa Muda Tofauti


Lakini Baada Ya William Wa Kwanza Kutoka Jela William Wa Pili Alipokuwa Anaingia Katika Mapokezi Ya Gereza Wakamshangaa Kwamba Kaletwa Palepale, Lakini Jamaa Yeye Akakataa Na Kusema Sio Yeye Wakaangalia Kwenye Faili Wakakuta Jina Ni Lilelile Na Picha Ni ileile Ndipo Askari Wakaenda Kumchukua William West Mwingine Na Kubaini Kwamba Wanafanana Tu, Hawa Jamaa Ndio Chanzo Cha Wazo La Kuletwa Kwa "Finger Print".
______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad