5/31/2022

Haya ya Jamaa Kumpiga Mke Wake Risasi Omba Mungu ya Sikukute

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

 


Kuna kitu nataka kuongeya kuhusiana Na tukio hili ambalo lilitokea siku hizi la Jamaa fulani kumpiga mke wake risasi

Nimesoma comment nyingi watu wengi wanamlaumu mwanaume kuwa amefanya vibaya saana kumpiga mke wake risasi

Kwangu Mimi nasema Sawa amefanya vibaya ila omba Mungu yasikukute

Sisi ambao yamesha tukuta tunajua kwanini Jamaa amefanya Ivo

Ushuuda wangu

Mimi Kuna mwanamke ambaye nilimuoa nikamuwekea Mali Na kumtowa vijijini kumleta mjini mwanamke nilimuudumia kila kitu mpaka nilifikia hatua ya kuanza kukopa pesa kwa watu ili mke wangu apendeze tu ila mwisho kabisa pamoja Na hayo mwanamke Alianza kunidharau Na kuniona Mimi si kitu kwake

Alikuwa ana nitukana , kunilinganisha Na wanaume wengine. Kuniambia Mimi sio mwanaume yaani kwake eti ni vigumu saana yeye kunitambulisha kwa watu eti Mimi ndo mume wake nilivumilia mengi saana.

Nikaona labda ndo changamoto za ndoa hizi Na nilijaribu kuomba msaada wa wazazi marafiki mwanamke aliniacha Na kuolewa Na mwanaume mwengine kitu ambacho kilinipa ugonjwa wa panic attack.

Niseme inauma saan

By Kizoda


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger