5/18/2022

Hili Ndilo Gari Atakalo Pewa Mshindi wa Miss Tanzania Mwaka Huu

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

Gari aina ya Mercedes Benz, Class C ndiyo itakuwa zawadi ya kwanza ya mshindi wa mashindano ya Miss Tanzania 2022 yatakayofanyika Ijumaa, katika ukumbi wa Mlimani City.


Zawadi hiyo ina thamani ya zaidi ya Tsh Milioni 40 na kitita cha shilingi Tsh milioni 10 na mshindi wa pili ataondoka na Tsh milioni 5, wa tatu Tsh milioni 3 na wanne na watano milioni 1


Shindano hilo litaonyeshwa moja kwa moja kwenye king'ang'amuzi cha @Startimetz katika channel ya @stbongotv.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger