5/24/2022

Idris Sultan "Wadada Wanapenda Wanaume Wanaolalamika"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

Mchekeshaji Idris Sultan anayewakilisha 'A Town' Arusha ametaja sifa za wadada wa Arusha kwa kueleza kwamba wanajifanya ma-gangster lakini wanapenda wanaume wanaolalamika.

"Wadada waliokuzwa Arusha wanajikutaga tu ma-gangster ila ndo kama hivi wanapenda wanaume wanaolalamikalalamika, oo najiua ooo naumia"

Idris Sultan ametaja sifa hiyo za wadada wa Arusha baada ya post ya Marioo akiwa na Mimi Mars ambao inasemekana ni wapenzi kwa sasa.

DC apiga marufuku wananchi kufua na kuoga hapaHABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger