5/04/2022

Je Upo Tayari Kwa Kolabo Kati ya Msanii Harmonize na Benard Morrison?Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram Benard Morisson @bm3gh ameweka picha akiwa na Kondeboy kisha kuandika hivi "Konde boy ft BM3 loading…."

Je upo tayari kwa Kolabo kati ya msanii @harmonize_tz na kiungo wa mpira tokea Klabu ya Simba @bm3gh !??😁

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger