5/18/2022

Jinsi Manara Alivyowachefua Mashabiki wa Simba, Wamjia juu ni Adhabu CAF inayohusisha imani za Kishirikina

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

 


Ameandika haya:

Wakati Watanzania tunaendelea kutangaza Filamu kubwa ya Royal Tour kuna wenzetu leo wamepigwa faini ya Dola Elfu kumi kwa kufanya Matambiko Hatarishi ugenini. 

Yaan Sisi tukitangaza Nchi yetu Kwa Vivutio vyake, Wenzetu wengine Kwa Maksudi wameenda kuiambia Dunia,,Sisi ni Wanga na Wachawi. 

Nchi imefedheheshwa,,Watanzania Tumedhalilishwa na Mpira wetu tumeutia doa, kama Senior Citizen wa Taifa hili nimejisikia kinyaa Kwa aibu hii kubwa zaidi kuwahi kutokea katika Taifa letu. ,,halaf huo Ulozi wenu mliufanya ndani ya Mwezi wa Ramadhani,,Daaah sijui nife tu ,,maana aibu hii haivumiliki kwa kweli 

Ipo haja ya Watanzania kuombwa Radhi kwa hii fedheha tuliyoipata leo, Vinginevyo wanapaswa pia kupewa adhabu ya ndani ikiwemo kufungiwa miaka kumi kuwakilisha Nchi...

lazma Tanzania ichukue hatua sahihi za ndani ili aibu hii isirudie tena, Kesho nasafiri kwenda Ulaya itabidi nihairishe,,maana huko Airport za wenzetu nikitoa Passport tu, watajua na mimi Mwanga

Yaan Mnaenda kuwanga huku Dunia inaona?officialjackilin

Ukimaliza uposti ile ya kufukia hirizi kwa mkapa mbuzi wa kafara wewe🤔

ra.madhani5089

Acha wivu ww mbona nyiee mmelogaa taifa juma shabani mmetumaa mulikua mnafanyajee paleee unajifanya mwemaa ,,Sana angalia yako fika na ww robo final acha wivu mzeee et tuchukuliwe atua juma shabani kafanya wanga Waz Waz kwa mkapaa zidi ya ruvu shooting nn kuleee 😮😮😮😮😮 boys ww

Mnakwenda kuloga bila haya?

Halaf wapo Wachambuzi walitaka eti tuwaige,,Tuige kuwanga? Tuige kukalia Moto? Tuige Shirki? Tuwaige kuroga?

Shame On Youboss_kajia66

Simba ikifungiwa miaka kumi timu gan itawakilisha nchi? Na hyo hela italipwa bila kutembeza bakuli sisi sio uto😎😄

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger