Juma Jux Kumuoa Huddah Monroe...Ataka Kuunganisha Mataifa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Baada ya kuwepo tetesi ambazo zinawahusisha wawili hawa, kuwa Wanamahusiano ya kimapenzi baina ya @juma_jux na mrembo kutoka kenya @huddathebosschick , Kisha kuonekana kwenye video mpya ya #Simuachi

Sasa #AfricanBoy (@juma_jux) kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha ya #Huddah na kuuliza swali hili👇

"Vipi tuunganishe mataifa 🇰🇪 x 🇹🇿#SIMUACHI 🌹❤️"


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad