5/20/2022

Jux na Mrembo Huddah Monroe wa Kenya ni Wapenzi?

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


The African Boy Juman Jux na mrembo Huddah The Bosschick kutoka 254 Kenya wamezidi kuwaacha mashabiki midomo wazi mitandaoni kuhusu madai ya wawili hao kuzama penzini.

Jux amemtumia Huddah kama 'Video Queen' wa ngoma yake ya simuachi ambapo ameonekana kumkiss mdomoni jambo ambalo linasemekana limeongeza madai ya wawili hao kuwa ni wapenzi.

Hii sio mara ya kwanza kwa Jux kuhusishwa kuwa kwenye mahusiano na Huddah, story hizo zilianza baada ya Jux kuachana na Vanessa Mdee.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger