5/31/2022

Kifo Cha Mrembo Mwanza Chamuibua Tunda "Nilikuwa Nikitishiwa Bastola Pale Ninapokosea"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

Mrembo Tunda Amefunguka Naye Kuwahi Kupitia Katika Mapenzi Ambayo Aliwahi Mara Kadhaa Kushikiwa Bastola Na Aliyekuwa Mpenzi Wake Pale Tu Anapokuwa Amekosea Bila Kujali Ukubwa Wa Kosa, #TUNDA Ameshare Hayo Mara Baada Ya Tukio La #SWALAH Kupigwa Risasi Na Mume Wake Huko Mwanza

'R.I.P beautiful!..nimeskiliza hii story hadi mwili umenisisimka aisee!..aya mambo yapo kweli imenikumbusha nyuma huko na mimi nilishawahi kuwa kwenye mahusiano ambayo nikikosea kitu hata kama sio kikubwa cha kuongea tu au alikua akihisi tu kitu ni napigwa hadi nashikiwa bastola sio mara moja wala mara mbili lakini mimi ni muoga sana ilinipelekea kuacha kila kitu na mapenzi yote niliyokuwa nayo lakini nikaona hapana inabidi nitoke huku iki ni kifoooo!..jamani uhai ni zawadi ambayo huwezi kupewa mara mbili ikiisha imeisha haiwezi kurudiwa!..tuweni sana makini na awa tunawaita maboyfriend au wanaume zetu ukiona kama kuna vitu haviko sawa aisee ni bora uachane huko!..pia hata serikali hawa watu wanakabidhiwa silaha inabidi wachunguzwe sana jamani watu wanapoteza familia zao ni huzuni sana aisee sio kikawaida kama tunavosoma tu juu huku mitandaoni!..😩🙏🏽Mungu atupe mwisho mwema kila mmoja wetu!..mapenzi ni furaha na burudani isiwe sababu ya maumivu kwa familia zetu💔'' @cappuccino_tunda

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger