Kifo cha Wakala Mkubwa Duniani Mino Raiola Pigo Kwa Wachezaji

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPAKifo cha wakala mkubwa duniani Mino Raiola ni pigo kubwa kwenye tasnia ya mchezo wa mpira wa miguu wamepata huku akiacha simtofahamu kubwa kwenye soko la uhamisho wa wachezaji ambao alikuwa akiwasimamia.

Wakala huyo kutoka Italia kazi zake za uwakala zimeamishiwa kwa ndugu yake Vincenzo, ambaye atakuwa na kazi ngumu ya kuendeleza kazi zake, na kufanya wateja wa Riola kuwa na furaha na ni muda wake ya kuonesha uwezo wake sasa baada ya kufanya kazi na ndugu yake kwa muda mrefu.

Baadhi ya mawakala wakubwa sasa wanajiandaa kuchukua wateja wa Mino Raiola, ambao ni Jonathan Barnett, Jorge Mendes, Volker Struth, Pini Zahavi na Alessandro Lucci. Enzo Raiola sasa ana kazi kubwa ya kufanya kuweza kuwabakisha wateja wa ndugu yake na kuboresha ubora wa soko lake la usajiri.

✍️: @omaryramsey

#SNSSports⚽⚽

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA


 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad