5/02/2022

Kijana Mwenye Watoto 47 DUNIA Kote Adai Kukosa Mpenzi wa KumuoaKyle Gordy (30), kutoka nchini Marekani mwenye watoto 47 ulimwenguni kote ambaye ni mfadhili wa mbegu za kiume (Sperm donor) amesema kwamba ameshindwa kumpata mwanamke wa kudumu naye kwenye mahusiano kutokana na mtindo wake wa maisha.

Kijana huyo amesema kwa sasa anatafuta mwanamke kwani yeye yupo tayari kuanzisha familia na kutulia, na mwanamke atakayempata inabidi amkubali jinsi alivyo.

Kyle Gordy, amesema kwamba amekuwa akitoa michango ya mbegu za kiume tangu akiwa na umri wa miaka 22, na kwa sasa anafanya kampeni yake kupitia mitandao ya kijamii.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger