5/11/2022

Kimenuka Huko...Mwanamuziki H Baba Acharuka Adai Alipwe na Harmonize Haki yake Kwenye Wimbo wa Attitude


Mwanamuziki mkongwe kwenye game ya bongofleva 𝐇.𝐛𝐚𝐛𝐚 kupitia ukurasa wake wa instagram,ameweka wazi kudai haki yake kutoka kwa mwanamuziki mwenzake 𝐇𝐚𝐫𝐦𝐨𝐧𝐢𝐳𝐞 ambae wamewahi kufanyanae kazi ya ushirikiano kupitia wimbo wa 𝐀𝐭𝐭𝐢𝐭𝐮𝐝𝐞 .


𝐇 𝐛𝐚𝐛𝐚 amedai kudhurumiwa haki /jasho lake kutokana na ushiriki wake katika wimbo wa 𝐚𝐭𝐭𝐢𝐭𝐮𝐝𝐞 kwa kutoambulia chochote kutokana na ushiriki wake upande wa audio na video na kusihi msanii huyo amlipe

HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

________________________________

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger