5/05/2022

Kimenuka...Mwijaku Akutwa na KESI ya Kujibu Sakata la Kusambaza Picha za UtupuMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemkuta na kesi ya kujibu Mtangazaji wa Clouds FM, Mwemba Burton maarufu Mwijaku katika shtaka la kusambaza picha za utupu kinyume cha Sheria linalomkabili

Mwijaku anashutumiwa kusambaza picha za utupu za Msanii wa Bongo Movie, Menina Abdulkarim Atiki maarufu Menina Alegria kati ya Septemba 17, 2019 na Oktoba 2019
-
#JamiiForums

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger