5/02/2022

Klabu ya Yanga imetozwa faini ya kiasi cha Tsh. Milioni 2 kwa kosa HiliKlabu ya Yanga imetozwa faini ya kiasi cha Tsh. Milioni 2 kwa kosa la kuingia uwanjani kwa kutumia mlango usio rasmi katika uwanja wa Azam Complex Aprili 6, 2022 Aidha klabu hiyo imetozwa faini ya Tsh. Milioni 1 kwa kosa la mashabiki wao kumrushia chupa za maji mwamuzi Msaidizi wa mechi hiyo iliyomalizika kwa Yanga Kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji Azam Fc.


HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger