Kocha Mbwana Makata na Meneja Wake Wafungiwa Miaka Mitano, Namungo Apewa UshindiKocha Mbwana Makata na Meneja David Naftali wamefungiwa kwa kipindi cha miaka mitano (5) kila mmoja kwa kosa la kushawishi/kuamuru wachezaji wasiingie uwanjani kuanza mchezo Tukio lililosababisha mchezo usifanyike na kuchafua taswira ya Ligi.

Kamati ya masaa 72 imempa Namungo alama tatu na mabao matatu, baada ya kujiridhisha kuwa Mbeya Kwanza waligomea mchezo huo licha ya taratibu kuwa sawa dakika ya 23 ikiwa ni dakika saba kabla ya kutimu nusu saa.
______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad