Kondoo Ahukumiwa Miaka Mitatu Jela

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Huko nchini Sudani Kusini, kondoo amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mwanamke mwenye umri wa miaka 45.

Kondoo huyo alikamatwa mwezi mmoja uliopita na kuwekwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya kumshambulia na kumjeruhi mwanamke anayefahamika kwa jina la Adhieu Chaping ambaye baadaye alifariki kwa majeraha hayo.

Mmiliki wa kondoo, Duony Manyang Dhal ameamriwa na mahakama kutoa ng'ombe watano kwa familia ya marehemu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad