Ticker

6/recent/ticker-posts

Kumekucha..Simba Imepigwa FINE ya Milioni 23 Kwa Kufanya Matambiko Uwanjani South Africa Mechi Dhidi ya Orlando Pirates


Shirikisho la soka Afrika (CAF) limeipiga faini ya USD 10,000 (Tsh milioni 23.2) Club ya Simba ya Tanzania kwa kosa la kuwasha moto katika pitch ya uwanja wa Orlando kabla ya mechi yake ya marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika vs Orlando Pirates.

Kitendo hicho cha Simba ambacho wengi walikihusisha na imani za kishirikina kimefanya waadhibiwe kwa faini hiyo ambayo wanatakiwa kuilipa ndani ya siku 60.Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments