Ticker

6/recent/ticker-posts

Kundi la Muziki la Mabantu Hawafanyi SHOW Chini ya Milioni Kumi na Ticket 5 za Ndege Mtu Wangu

Kundi la Muziki la Mabantu Hawafanyi SHOW Chini ya Milioni Kumi na Ticket 5 za Ndege Mtu Wangu

Hit makers wanao miliki headlines kwa sasa na ngoma ya Star' kutoka kundi la 𝐦𝐚𝐛𝐚𝐧𝐭𝐮 @muuh_mabantu & @twaah_mabantu kwa pamoja wameamua kutaja ku charge kiasi cha Million 10 kama gharama za show iwapo utahitaji kufanya kazi.


Kulingana na mohijiano yao ya hivi karibuni kundi hilo wameeleza kuwa gharama hio inategemea aina ya show pamoja na wapi itakapofanyika, lakini kwasasa gharama zao si chini ya kiasi hicho cha million 10 pamoja na tiketi 5 za ndege kama usafiri kwa show za mikoani. Gharama hizo wametaja kugawana katika mgawanyo wa kundi na watu walionyuma yao kama wasimamizi wanao.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments