5/14/2022

Kutana na Mrembo Aliyesumbua Wanaume Miaka Hiyo Mpaka Wengine Kujiua Kwa Kumkosa, Wema Sepetu wa Miaka Hiyo huyu


Pichani Ni "Princes Qujar", Huyu Alikuwa Ni Mtoto Wa Mfalme Wa "PERSIAN" Miaka Ya 1900s Princes Qujar Aliwapa Tabu Sana Wanaume KwaSababu Alionekana Kuwa Ndiye Mwanamke Mrembo Zaidi, Ambapo Mamia Ya Wanaume Waliomfuata Aliwakataa Na Zaidi Ya Wanaume "13" Walijiua Kwa Kukosa Penzi Lake Baada Ya Kukataliwa  

Kwa hapa Bongo labda tunaweza mfananisha na Wema Sepetu enzi zake bado yupo moto chini


HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

Share:
Loading...

1 comment:

  1. Nimecheka hakika,sema ulitaka tu kumsakama Sepetu wa watu不不不不不不不不不不不13 kujiua kwa hicho kipipa .

    ReplyDelete

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger