Kwa Mujibu wa Mwijaku Picha Hii ya Angella na Harmonize Imepigwa na Kajala

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kupitia ukurasa wake wa Instagram,mwanamitandao na mtangazaji, @mwijaku amedai picha mpya ya @harmonize_tz na @anjella_tz ambayo imepigwa wakiwa location,Bagamoyo kushoot Video ya wimbo wao wa Kioo, imepigwa na @kajalafrida .

“Maraaa paaaap @anjella_tz ana ujauzito wa @harmonize_tz hahaha ..! Msiwe na hofu huyo ni wifi yake @kajalafrida na alie piga picha na kusimamia hayo mapozi ni @kajalafrida mwenyewe . Proud of you @anjella_tz @harmonize_tz 🎬”

Huu unakuwa ni muendelezo wa zile tetesi zinazo sadikika Kajala karudiana na Konde Boy, ambapo mchekeshaji Stani Bakora pia alithibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Sajo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad