5/02/2022

Lulu Michael "Hamuwezi Kuniharibia Ndoa yangu"MSANII wa filamu nchini Elizabeth Michael 'Lulu' amesema mtu yeyote anayefanya mambo ili kumharibia ndoa yake, ajue hatafanikiwa kwani mume wake anamfahamu vizuri na amemchunguza kabla hajamuoa.

Lulu amesema anasikitishwa na wanaomfuatilia maisha yake, wakati yeye hafuatilii maisha ya mtu yeyote.

"Mume wangu ananijua sana, hivyo maneno ya watu hayawezi kugombanisha ndoa yetu tunapendana na tushachunguzana sana.

“Anajuwa mengi mazuri na mabaya, ameniona na kunipenda nilivyo,'' amesema Lulu.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger