5/31/2022

Mahakama Kuamua leo Sabaya Kubaki Huru ama Hukumu Kesi yake ya Uhujumu Uchumi

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

 


HUKUMU ya kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, na wenzake sita, inatarajiwa kutolewa hii leo Mei 31, 2022, na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.

Hukumu ya leo inatarajiwa kuamua hatima ya kiongozi huyo wa zamani na wenzake endapo wataachiwa huru, kwa kuwa baada ya kesi hii hawana nyingine iliyosalia mahakamani.


Katika kesi ya kwanza Sabaya na wenzake wawili walihukumiwa kifungo cha miaka 30 jela, hukumu ambayo Mei 6, 2022 ilitenguliwa na Mahakama Kuu na kuwaachia huru baada ya kubaini dosari zilizojitokeza katika mwenendo wa kesi ya msingi katika mahakama ya chini

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger