5/31/2022

Mahakama Yamuachia Huru Mwijaku Kesi ya Picha za Utupu, Upande wa Mashtaka Washindwa Kuthibitisha

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Msanii wa maigizo, Mwemba Burton maarufu Mwijaku.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru msanii wa maigizo, Mwemba Burton maarufu Mwijaku, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake katika kesi ya kusambaza picha za utupu iliyokuwa inamkabili msanii huyo.

Uamuzi huo umetolewa leo Jumanne Mei 31, 2022 na Hakimu Mkazi, Rhoda Ngimilanga wakati shauri hilo lilipoitwa kwa ajili ya hukumu.

Mwijaku alikuwa anakabiliwa na shtaka moja la kusambaza picha za utupu kinyume cha sheria, tukio analodaiwa kulitenda Septemba 17, 2019 na Oktoba 2019, Jijini Dar es Salaam.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger