5/23/2022

Man City wachukua ubingwa wa PL kibabe

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Manchester City wamefanikiwa kutwaa Ubingwa msimu wa 2021/22 Premier League ukiwa ni wa nne ndani ya misimu mitano.


Ushindi wa goli 3-2 dhidi ya Aston Villa katika mchezo wa mwisho wa msimu huu umetosha kuwatangaza mabingwa vijana hao wa Guardiola huku wakipishana alama moja tu mshindani wake Liverpool.

Hili linakuwa taji la 11 chini ya Pep Guardiola tangu kujiunga na City mwaka 2016.

Katika mechi 38, Man City imeshinda 29, sare sita (6) huku kikosi chake kikifunga jumla ya magoli 99.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger