Manara Awashukia Wachambuzi wa Mpira "Wachambuzi Waliokuwa Wananidhihaki now Vyup** Vimetight"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Maskini ya Mungu Shekh wa watu alitukanwa sana na Mashabiki wa Makolo,,.wakawa wanauliza Haji anacheza namba ngapi? Haji ndio Kocha?

Hawakujua pia kuna Watu wana Zari na ni Vitukuu vya Rasuli vilivyoadhiniwa na Wacha Mungu.

Kebehi,Dharau,kashfa na Matusi nilijua vitakoma tu, now nipo mwenyewe tu mitandaoni, wenye Vispika vya kuuzua Mavi ya kuku chaliiiii.

Wachambuzi walionidhihaki now Vyupi vimetight, Yupo mmoja idadi ya Makala za kunidhalilisha zimefika Sitini, now hata kupost matokeo tu ya Wananchi hataki, nahisi jamaa ni Mchawi Kamili,,,na wale baadhi ya Waandishi waliokuwa wakitumwa kuniandikia makala za kunidis ni kama wamekufa hivi..

nakumbuka waliunda Group kabisa la WhatsApp, Mwamba nikawa added kwa namba nyingine bila wao kujua ,,ila wale nishawasamehe coz njaa tu zilikuwa zikiwaharas.

Shukran YANGA Afrikaaaaaaa,,,
Asanteni sana Wananchi nyinyi ni ndugu zangu, msimu mzima mlinipambania nilipotukanwa ,,mkanitetea kwa kila kitu, mkanihakikisha nakuwa Comfortabel ktk kazi zangu.

Siku hizi sisikii tena Yanga ikidroo, Bugati anachekea chooni, kila usemi nimeufuta, sisikii tena eti Haji yupo YANGA kikazi na kuna Siku ntarudi kwa Makolo,( Fanaudhu Billah Min Dhalika) nimesahau nn ?

Hiki ndio kipindi changu bora katika maisha yangu ya usemaji wa mpira, najidai,natamba,navimba coz Makolo Chaliiiiiii kama Wavuvi wa kidale.

Save the date 16/6/2022
Press ya kitaifa.

Kuna Msemaji mmoja tu wa football nchi hii, wengine waomba Mungu tu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad