Habari Kama Hizi Zinapatikana UDAKU SPECIAL App, Download HAPA Bure: Link here>>>
Mapacha tisa wa kipekee waliozaliwa kwa wakati mmoja - wako "katika afya njema" wanaposherehekea siku yao ya kuzaliwa kwa mara ya kwanza, baba yao ameambia BBC.
"Sasa wanatambaa. Wengine wanakaa na hata kutembea wakijishikilia mahali," alisema Abdelkader Arby, afisa wa jeshi la Mali.
Bado wako katika uangalizi wa kliniki nchini Morocco walikozaliwa.
Alisema mama yao Halima Cissé, 26, pia anaendelea vyema.
Kusoma kwa kina taarifa hii tembelea ukurasa wa bbcswahili.com
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
________________________________
Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE
0 Comments