5/18/2022

Mapya yaibuka..Manesi 10 wa Kike wa Hospitali Moja Wajikuta Wote ni Waja Wazito Kwa Wakati Mmoja

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

Mapya yaibuka 😲! Manesi 10 na daktari 1 wa kike katika hospitali ya Liberty huko Missouri, Marekani wote ni wajawazito kwa wakati mmoja na wawili kati yao wanatarajiwa kujifungua tarehe sawa


Hiyo tisa, kumi kilichowaacha zaidi watu midomo wazi na kuibua minong'ono ni kwamba karibia wote 11 wanafanya kazi katika wodi za kinamama wenye uchungu na kujifungulia(obstetrics, labor and delivery)

Mmoja wa wakuu wa wodi ya kujifungulia akihojiwa na mwanahabari amesema mara mara nyingi mambo yao wanafanya kwa pamoja ila safari hii medical professionals 11 wote kuwa wajawazito wa kujifungua miezi kadhaa ijayo inachekesha kama si kufurahisha


Ukiacha hao, mwaka 2019 kituo cha afya cha Maine nacho wafanyakazi wake 9 wote walikuwa wajawazito kwa wakati mmoja
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger