5/22/2022

Marioo "Niliumia Sana Siku Nilipoona Diamond Anaogelea na Mimi Mars

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

Staa wa Muziki @marioo_tz Anasema Alivyoona video ya rafiki yake wa kike @mimi_mvrs11 Akiogelea kwenye Swimming pool nyumbani kwa Staa wa Muziki @diamondplatnumz kitendo hicho kilimuumiza sana


Kupitia Instastory yake akiwa anajibu maswali ya Mashabiki Amelithibitisha hilo alivyoulizwa Tukio lililowahi kumuumiza akajibu..

"Yapo mengi ila nilivyoonaga ile clip video ya rafiki yangu wa kike anaogelea kwenye pool la broo ilinigusa nayo ile"


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger