5/23/2022

Mashine ya Kujua Idadi ya Wanawake au Wanaume Uliyotembea Nao Kimapenzi Yagunduliwa

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

Nchini Marekani imegundua mashine ya kupima idadi ya wanawake au wanaume uliowahi kutembea nao, au unaotembea nao kwa wakati huu.

Akizungumza Dr andrew amesema, ni hatua kubwa kufikia kutengeneza mashine hiyo kwani wapenzi wengi wataacha tabia ya kutoka nje ya ndoa.

Amesema mashine hiyo isiyotumia mionzi ni salama kwa afya ya ubongo wa binadamu, ameendelea kutoa wito kwa nchi za Africa kununua kwa wingi kwakuwa bei yake ni ndogo sana.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger