5/14/2022

Mbosso na Mkakati wa Kuoa Wake Wanne


MBOSSO Khan; ni mwimbaji mkali
wa Tanzania ambaye amefunguka kuhusu jinsi angefurahi kuwa na wapenzi wanne. Mbosso amesema; “Ukiwa na mpenzi mmoja anakupa furaha.

Imagine ukiwa na wapenzi wanne hayo mafuraha yake…” Si mara ya kwanza kwa Mbosso kuzungumza kuhusu kuwa na wapenzi wengi.

Mwaka 2020, Mbosso anayetumikia Lebo ya WCB alisema kuwa wake wanne hawatoshi, angependelea kuwa na wanawake 15 hadi 20 au kumi au 15, nitakuwa mzuri.

Mbosso ni Muislam na anaruhusiwa kuoa wake wanne. Jumuiya za Kiislam zinaruhusu hadi wake wanne. Mbosso tayari ni baba wa watoto watatu kutoka kwa wanawake tofauti


HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger