5/05/2022

Mchoro wa Simba Kwenye Mfuko Wasababisha Taaruki Kubwa Kenya


Wakaazi wa kijiji cha Kinyana, taarifa ya ndogo ya Nkunjumu nchini Kenya walipigwa na butwaa baada ya simba waliyemripoti kuwa amejificha kwenye ua si chochote ila ni picha katika mfuko wa kubebea bidhaa.

Chifu wa eneo hilo Cyrus Mbijiwe alimwambia mwandishi wa BBC Peter Mwai kwamba mmiliki wa nyumba aliyeonekana simba huyo alirudi na mfuko uliokuwa umebeba maparachichi na aliamua kuweka mbegu za maparachichi katikati ya nyumba yake na maua mahali ambapo zingekauka.

Mfanyakazi wa shambani ambaye alikuwa anatoka kuvuna nyasi za mifugo, aligundua kile alichodai kilikuwa simba na kuliita Shirika la Huduma ya Wanyamapori la Kenya KWS.


HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger