Video ya Wait For U ya kwake Rapa Future ft Drake And Tems Kutoka Nigeria imetoka ikiwa ni video ya pili kuachiwa toka ametoa Albamu yake ya “I Never Liked You”
Video ni nzuru na Uwenda wengi wetu tulikuwa tukisubiri kumuona msanii Tems tokea Nigeria ni kwa namna gani atavaa uhusika mbele ya hawa Marapa bora kwa sasa Duniani, Licha ya kuipendezesha audio kwa sauti yake tamu,ila kwa bahati mbaya,msanii huyo hajatokea kwenye video hiyo na haijulikani ni sababu ipi imekwamisha Yeye kutokea.
Itazame Video Hapa Chini:
______
Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA