Saa chache baada ya Baraza kuu la CHADEMA kuwafukuza rasmi Halima Mdee na wenzake 18 kutoka kwenye ukurasa wa Twitter wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameandika
-
“Msamaha hutolewa kwa mwenye kuomba msamaha. Msamaha hutanguliwa na kukiri makosa na kuomba radhi badala ya kiburi cha dhambi, upotovu na upotevu.
-
“Wakati mwingine hukumu na adhabu ni msingi wa haki, ukweli, nidhamu na maadili. Kukosea ni ubinadamu, kujikosoa ni utu.”
______
Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA