5/22/2022

Msanii Mr. Blue Afunguka "Najaribu Kuwa Baba BORA Kutimiza Majukumu Ambayo Baba Yangu Aliyakimbia"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Akiwa kwenye Empire ya EFM hii leo Mei 19, Msanii Mr. Blue amejibu swali aliloulizwa kama yeye ni Mshua Masta (Yani Baba Bora) kuelekea siku ya Baba Duniani, Blue amejibu ndio, akidai anajaribu kuwa Baba bora zaidi kwa familia yake, kutimiza majukumu ambayo baba yake mzazi alishindwa kuitimizia familia na akayakimbia.

Blue amedai amesoma shule ambayo hata yeye angekuwa Baba kwa wakati huo hasingeruhusu mwanae kusoma hapo,kumaanisha kuwa Dingi aliiacha familia kwenye mazingira magumu, kitu ambacho Blue hasingependa kitokee kwa familia yake. Rapa huyo pia amedai kikubwa anacho kifanya kwa wanawe ni kuwaweka mbali sana na shetani,kuwafanya waijue sana ibada.


Ni miaka miwili Blue amekuwa busy na familia,hivyo ameahidi kurudi tena kwenye game hivi karibuni.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger