5/19/2022

Msanii wa bongo fleva Zuchu Aomba Radhi "Mnisamehe Kwa Usumbufu"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

Msanii wa bongo fleva, kutokea Lebo ya WCB Zuhura maarufu kama @officialzuchu kupitia ukurasa wake wa Tweeter ameomba radhi kwa shabiki zake kwa usumbufu wa nyimbo yake mpya anayotarajia kuiachia hivi karibuni na kuomba mshabiki wajiandae kisaikolojia kwaajili ya kuipokea ngoma hiyo ambayo itakuwa hit song

#Zuchu ni moja kati ya wasanii wa kike wenye uwezo mkubwa na sauti tamu katika kutema mashairi.

Nikukumbushe tu kuwa #Zuchu alitambulishwa rasmi kuwa msanii wa lebo ya WCB mwaka 2020,na kati ya mafanikio yake ambayo hatuwezi kuacha kuzungumzia ni msanii wa kwanza wa kike East Africa kufikisha subscribers milioni moja (1M) #YouTube kwa miezi kumi na moja


Lakini pia amewahi kupewa Silver plaque button na #YouTube kwa kufikisha subscribers laki moja kwa wiki, sio hayo tu na mengine mengi kwahiyo naweza kumuitwa malkia wa bongo fleva.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger