5/06/2022

Msemaji wa Simba Achafukwa Adai Ligi Yetu Kuu ni Dhaifu Time Nyingi Zinagombania Kushindwa


Kutoka Kwa Msemaji wa Simba ameandika haya: 

"Katika timu 16, timu 14 zinaweza kushuka daraja

Hii sio aina ya ligi tunayoihitaji haiwezekani timu nyingi zigombanie kushindwa

Ligi yenye ushindani ni Ile ambayo timu nyingi zinagombania ubingwa

Timu nyingi Msimu huu zimekua dhaifu, tupo round ya 22 lakin ni timu tatu tu zimefikisha point 30+

Msimu uliopita hadi kufika round ya 22 japo timu zilikua nyingi lakini timu 7 zilikua na points 30+

Hii ni hatari kwa sababu Bingwa anaweza kupatikana kwa kufunga waidhaifu wengi

Najua utauliza kwanini na wewe usiwafunge hao dhaifu wengi Ili uwe Bingwa, ukweliii ni kwamba katika hizo mechi zetu dhidi ya timu dhaifu nasi tulitanya udhaifu"

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger