5/08/2022

Mtanzania auawa na Polisi Marekani, alikuwa Milionea na Mmiliki wa website Maarufu ya video


Rogers Kwaruzi, 30, Mtanzania aliyehamia Marekani akiwa mdogo, ametambulika kuwa ndiye aliyeuawa kwa kupigwa risasi na polisi huko Atlanta, Georgia Jumatano ya May 4, 2022. 

Kyaruzi alikuwa milionea ambaye alimiliki tovuti ya flyheight.com na alikuwa akijihusisha na biashara za real estate nchini humo. Sky amekuandalia ripoti ya kina kuhusiana na tukio hilo la kusikitisha.VIDEO:


HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger