Mwaijaku Aendelea Kumkalia Kooni Diamond Platnumz "Ndege Used Alafu Unakuja Kutuambia Wanunua Ndege Kawasaidi Ndugu zako Kwanza"

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA



Mwijaku hapoi Baada ya Diamond kutangaza Kuwa ana nunua Private jet...Leo ameweka Picha hiyo Katika Ukurasa Wake Instagram na Kuandika haya:

 #MWAMBINO - sekandi handi (USED PLANE ) Alafu mtu anakuja kutuambia eti ananunu ndege . Wewe na bosi wako woote #PUMBAVU

HUNA MBELE WALA NYUMAA WASAIDIE NDUGU ZAKO KWANZA WALIPE MISHAHARA WAFANYA KAZI WAKO WALIPE WANAO KUDAI KINA MSOFEE WALIPE KINA MAHAGATILA NA MAKAKILAAAAAAAAAAAAA KWANZAAAAA

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA


 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad