Ticker

6/recent/ticker-posts

Mwamuzi wa kati Aliyechezesha MECHI ya Yanga na Ruvu Shooting Apewa Onyo Kushindwa Kumudu Mchezo

Mwamuzi wa kati Aliyechezesha MECHI ya Yanga na Ruvu Shooting Apewa Onyo Kushindwa Kumudu Mchezo

Mwamuzi wa kati Abdalla Mwinyi mkuu amepewa onyo kali kwa kosa la kushindwa kumudu mchezo wa Ruvu shooting Fc dhidi ya Young Africans Sc uliochezwa katika uwanja wa Lake Tanganyika Mkoani kigoma Mei 4 2022.

Katika matukio Tofauti mwamuzi huyo alishindwa kutoa adhabu stahiki kwa wachezaji waliofanya makosa kwenye mchezo huo.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments