5/01/2022

Mwanamke Aliyezaa na Barakah The Prince Afunguka
Msanii wa filamu aliyezaa mtoto na Barakah The Prince, Careen Simba anasema chanzo cha kuachana na msanii huyo ni kuanzisha mahusiano na Naj wakati akiwa na ujauzito wake.

Careen Simba ambaye pia ni video vixen anasema "Mimi na Barakah tulijuana muda mrefu sana, mimi mpaka nabeba mimba tukaachana na Barakah na kuzinguana kwa sababu ya Naj, sikuwa mchepuko nilikua mwanamke wake".

Careen Simba ameongeza kusema wakati yupo kwenye mahusiano na Barakah hawakutaka kuweka wazi kwa sababu hapendi mambo ya kujulikana sana.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger