5/13/2022

Mwanamuziki Fela Kuti Aoa Wake 27 Kwa Mpigo Siku Moja

Mwanamuziki Fela Kuti, nguli wa miondoko ya Afrobeat kutoka Nigeria aliweza kuwaoa wachezaji wake dansi 27 katika siku moja.

Fela aliwaita wazee 12 wa kimila waweze kusimamia sherehe yake, iliyofanyika katika hoteli moja ya kifahari iliyoko mjini Lago uko Nigeria February 20, 1978.
Nguli huyo aliwachukua wake zake wote 27 kwa fungate kuelekea nchini Ghana, hata hivyo Fela mnamo mwaka 1986 aliwakataa wake zake hao wote kwa kudai kuwa "Ndoa inaleta wivu na ubinafsi sana".


Swali: Je! kuwa na wanawake wengi, kwa mwanaume kunaweza kumpa furaha?

✍️ Na @mtumakiniart


HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger