Mwanamuziki Kendrick Lamar Aweka Umaarufu Wake Pembeni Ghani, Ajichanganya na Watu wa Kawaida MtaaniBaada ya kuachia Album yake #MrMoraleAndTheBigSteppers inayoendelea kufanya poa katika platform mbalimbali za muziki duniani, Rapa @kendricklamar ametua nchini Ghana 🇬🇭

Lakini kitu kilichowashangaza watu wengi kutoka kwa Rapa huyo mkubwa duniani ni jinsi alivyouweka umaarufu wake pembeni na kujichanganya na watu wa kawaida kabisa.


Akiwa nchini humo (Ghana), Rapa huyo ameonekana akijichanganya na watu wa kawaida na akijishughulisha kwenye shughuli mbalimbali pamoja na watu kama vile kucheza mpira bila kujali umaarufu wake.

Watu mbalimbali wamepata nafasi ya kuongea nae pamoja na kupiga naye picha huku wengi wakimsifu kwa nidhamu yake na ustaarabu.


Je ni msanii gani maarufu unayemjua ambaye hajali umaarufu wake akiwa na watu!? Mtag hapa tumjue

______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad