5/26/2022

Mwanamuziki Kusah Ametangaza Kuacha Muziki

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

Kusah Ametangaza Kuacha Muziki Kabisa Endapo Project Yake Inayofuata Ambayo Anaitoa Mwezi Ujao Tarehe 17 Isipo Hit, #KUSAH Amefunguka Hayo Kwenye Kipindi Cha #Refresh Ya Wasafi TV.

"Project Yangu Mpya Ya Trehe 17 Mwezi Unaofuata Na Isipo Hit Naacha Muziki Kabisa, Yani Sitoi Ngoma Natoa Project Yangu Na Nina Uhakika Ni Hit Song Kwa Asilimia Kubwa Naitaleta Mapinduzi Makubwa Kwenye Bongo Fleva Kama #IWish Ilivyoleta Mapinduzi, So Hiyo Project Ya Tarehe 17 Na Isipo Hit Mimi Muziki Naachaaaa" @_kusah_


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger