JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA
Ni msiba mkubwa jijini Mwanza. Mwanamke maarufu jijini humo aitwaye Swalha, ameuawa kwa kupigwa na risasi na mumewe usiku wa kumkia Jumapili ya May 29. Tukio hilo limetokea nyumbani kwa wanandoa hao huko Buswelu.
VIDEO:
0 Blogger:
Post a Comment