Mwijaku Amshushua Diamond Platnumz Kuhusu Kununua NDEGE 'Nyooooo wadanganye standard seven wenzio "

 


Mwijaku Hakomi Kumwandama Diamond Platnumz , Ameandika haya Katika ukurasa wake wa Instagram:

Ukisikia mpumbavu anataka kujiua ndio huku . Nani amekwambia NDEGE ni kwapa kila mtu analo . Nyooooo wadanganye standard seven wenzio ______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad