Mwijaku Amuonya Baba Levo Kuhusu Vunjabei "Tuliza Mapua Yako Hayo Tajiri Hazihakiwi Muombe Radhi"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwambieni @officialbabalevo awe na heshima kwa wawekezaji wa ndani . @fred_vunjabei ni mfanya biashara na muwekezaji alie toa ajira kwa vijana 411 .

Wewe Baba levoo usimfananishe @fred_vunjabei na maboss wako wanao lia lia kila sikuuu kwa wawekezaji .kuomba uzamini wa show zenu .

Usijisahaulishe tunawavisha wafanyakazi wenzio huu mwaka wa 3 sasa . Pamoja na boss wako anavaa brand na nguo kutoka VUNJA BEI .

Kua na heshima una mtaja Muwekezaji na mdanyabiashara wa ndani . Kama @fred_vunjabei

NAKUONYA TULIZA MAPUA YAKO HAYOOO NA TULIZA MAKALIO YAKO . TAJIRI HAZIHAKIWII

KUMBUKA UNAPO KWAMA KODI NA KUMBUKA UNAPO LIWA KWENYE KAMALI NANI HUA ANAKUOKOAAAAA NYAU WEWE .

KWA NIABA YA WATANZANIA YUNAKUOMBA RADHI TAJIRI @fred_vunjabei
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad