5/12/2022

Mwijaku "Kajala Tayari Amerudi Mjengoni kwa Msanii Harmonize na Rayvanny Ameachwa na Paula"


Kwa mujibu wa Mwanamitandao,mtangazaji wa Clouds Media na msemaji wa maisha ya watu, DC Mwijaku amedai Kajala tayari amerudi mjengoni kwa msanii Harmonize. Akilithibitishia dawati la Leo tena ya Clouds Fm, Mwijaku amedai hivi karibuni alivyoenda kwa Harmonize alikutana na Kajala na wakasalimiana ila akanyang'anywa simu hasichukue Video hadi wao watakapo amua kuweka wazi.

Kuhusu Paula, Mwijaku amedai si muda kuna Alphad yake inanunuliwa na Harmonize huku akithibitisha kuwa ,Paula na Rayvanny walishabwagana na Chui amerudi kwa Fahyvanny.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger